Taarifa inatolewa kuwa Jumatano tarehe 10 Novemba 2021, kutakuwa na Kongamano la 17 la kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere (Nyerere Day), ambalo huandaliwa na kufanyika kila mwaka.
Kongamano hilo litafanyika Kampasi Kuu Morogoro, kuanzia saa 3:00 (Asubuhi), ukumbi wa Samora,
Mgeni rasmi atakuwa Mhe. Kanali Joseph Simbakalia, Mwanasiasa nguli na Mkurugenzi Mstaafu wa EPZA
(Export Processing Zones Authority).